Matthew 20:1

Mfano Wa Wafanyakazi Katika Shamba La Mizabibu

1 a“Kwa maana Ufalme wa Mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba aliyetoka alfajiri ili kwenda kuajiri vibarua kufanya kazi katika shamba lake la mizabibu.
Copyright information for SwhKC